Hizi akili za toilet paper usizitoe hadharani kabisa. Unataka kusema wapinzani wanaoijunga CCM ni kwa sababu ya dola? Unataka kusema CCM inashinda uchaguzi kwa kura za vyombo vya dola? Acha ujinga, CCM bado ipo madarakani kwa sababu sera, muundo na ilani ya uchaguzi inavyotekelezwa vinawakosha Watu wengi ndio maana wanaipa ridhaa CCM kuendelea kubaki madarakaniWapuuzi, wajinga, narrow minded ndio Wenye akili na mtazamo Kama huo! Acheni wizi muone, Acheni kutumia jeshi la Polisi muone mziki wake.
Nani alianzisha mfumo wa vyama vingi? Nitajie kati ya viongozi wa upinzani aliyekaa na kutangaza kuwa kuanzia sasa nchi yetu itakuwa na vyama vingi.Wimbi la Madiwani wengi kutoka Upinzani kujivua Uanachama na kuhamia CCM ni dhahiri shahiri kuwa 2020 Upinzani hautokuwepo kabisa! Yapo mambo mengi ya kujiuliza ni kwanini mambo hayo kutokea sasa? Jibu ni moja tu kuwa zilizokuwa kero nyingi zikiisakama jamii ya wa Tanzania hadi kufikia Tanzania kuitwa Shamba la Bibi sasa zinatatuliwa moja baada ya nyingine, nidhani katika taasisi za Umma zimebadilika mno na kuwa zenye kuwaridhisha Wananchi,Aidha udhibiti wa upotevu wa Mali za Umma na udhibiti wa Uchumi umepelekea kila Mtanzania Mzalendo mwenye kuipenda Nchi yake( sio vibaraka)kufurahia hali hii hivyo kutokuwa na sababu ya kuuchagua Upinzani 2020 kwa maana hiyo tutegemee Upinzani kufa 2020
Atakufa baada ya wdweWew utakufa lin?
aaaaarrrrggh mijitu mingine bhana
Wote walisharudisha kadi za upinzani na hawakuwa wapinzani ila watafutia tumbo.Rais Magufuli amejipambanua si mbaguzi wa kiitikadi ndio maana ameweza kuwateua Wapinzani kwenye nafasi nyeti Serikalini. Hongera Rais Magufuli kwa kujenga umoja wa kitaifa
Wewe unayesubiri pesa uletewe mifukoni, wewe ambae ulikuwa ni jipu ama upo kwenye mtandao wa majipu ndio utaona hakuna linalofanyika ila sisi Watanzania tunaona mambo mengi mazuri chanya yanafanywa na Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais MagufuliEt kero zinatatuliwa wabongo bana hatari sana sijui elimu yetu imekaaje lakin utakuwa ugonjwa waafrika wengi kuwa na ufinyu wa fikra
Hilo nalo ni neno lenye maanaMimi ningewashauri wapinzani wasisimamishe mgombea kwa nafasi yeyote ile nchi nzima. Then Watanzania tukae miaka mitano bila upinzani ili tuone kwa vitendo kazi ya vyama vya upinzani katika maendeleo ya nchi.
Ningekuwa naruhusiwa kutukana hapa JF ningekutukana kuwa una*iwa wewe siyo bure![/Q
Toa mchango wa kimawazo wenye tija na si kutoa matusi. Leta hoja, acha vihoja
Upinzani sio CHADEMA, CUF au ACT.. Upinzani ni kama imani tu.. Huwezi kuua imani ya mtu kwa udikteta uchwaraWimbi la Madiwani wengi kutoka Upinzani kujivua Uanachama na kuhamia CCM ni dhahiri shahiri kuwa 2020 Upinzani hautokuwepo kabisa! Yapo mambo mengi ya kujiuliza ni kwanini mambo hayo kutokea sasa? Jibu ni moja tu kuwa zilizokuwa kero nyingi zikiisakama jamii ya wa Tanzania hadi kufikia Tanzania kuitwa Shamba la Bibi sasa zinatatuliwa moja baada ya nyingine, nidhani katika taasisi za Umma zimebadilika mno na kuwa zenye kuwaridhisha Wananchi,Aidha udhibiti wa upotevu wa Mali za Umma na udhibiti wa Uchumi umepelekea kila Mtanzania Mzalendo mwenye kuipenda Nchi yake( sio vibaraka)kufurahia hali hii hivyo kutokuwa na sababu ya kuuchagua Upinzani 2020 kwa maana hiyo tutegemee Upinzani kufa 2020
Toa mchango wa kimawazo wenye tija na si kutoa matusi. Leta hoja, acha vihojaNingekuwa naruhusiwa kutukana hapa JF ningekutukana kuwa una*iwa wewe siyo bure!
Akili bado za kijinga sana sijui shule mnaendaga mucheza mdako hata babu zako kabla ya kugundulika kwa pesa walijishughulisha kubadilishana bidhaa kwa bidhaa sikuwahi kusoma mahali wakisubir nyumbani kuletewa hivi hizi kauli za kijinga za propaganda mtaacha lini kuzitumia nyie vichaa? Nani anasubiria pesa aletewe hii ndo shida ya kulishwa matango pori mnajua wote vilaza kama wewe.Wewe unayesubiri pesa uletewe mifukoni, wewe ambae ulikuwa ni jipu ama upo kwenye mtandao wa majipu ndio utaona hakuna linalofanyika ila sisi Watanzania tunaona mambo mengi mazuri chanya yanafanywa na Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Magufuli
Nakazia: Mama Anna Mghwira ni RC KilimanjaroJiwe linapoipeleka ccm sijui.....
Haiwezekani utujazie wapinzani ndani ya chama chetu then uwape vyeo....
Humphrey polepole; video zipo akiiponda ccm live leo jiwe limempa ukatibu itikadi wa chama.
Julianza shoza; huyu umemtoa chadema leo waziri
Kitila mkumbo; leo umempa ukatu mkuu serikalini.
Mrema; mwenyekiti wa parole
Hivi kuna udikteta unaozidi ule wa mzee wa alichachi wa kung'ang'ania madaraka? Nenda kamuulize Mgonjwa msomi wa ubelgiji yaliyomsibu utaujua madhala yakeUpinzani sio CHADEMA, CUF au ACT.. Upinzani ni kama imani tu.. Huwezi kuua imani ya mtu kwa udikteta uchwara
Sio kila mtu humu ni mpumbavu kama wewe..Hivi kuna udikteta unaozidi ule wa mzee wa alichachi wa kung'ang'ania madaraka? Nenda kamuulize Mgonjwa msomi wa ubelgiji yaliyomsibu utaujua madhala yake