super black Boy
Senior Member
- Oct 15, 2019
- 135
- 169
Tafuta kifaa chakujipima mwenyewe haitaki stress hiyo dk 10 mpaka 20 majibu unayo mwenyewe hakuna umbea hapoDaaah! hili gonjws jamani la UKIMWI linatisha sana kwanza linatisha zaidi pindi unapoenda kupima.
Madaktari huwa wanazingua sana na maswali yao kiasi kwamba yanamfanya mtu mpaka anakata tamaa ya kuendelea kupima huo ugonjwa aisee..
Unakuta daktari anakuuliza kijana umejifikiria nini kuja kupima UKIMWI. Daah swali linakera kweli yaani mwingine anakuambia hivi huwa unatumia kinga au hutumii na kama hutumii mwenzako huwa unamuamini kwa kiwango gani?
Akimaliza hapo anakuambia ikitokea umekutwa wewe ni muathirika utachukua hatua gani? Daaah haya maswali huwa yanachosha sana.
Binafsi sijawahi kwenda kupima ila najua haya maswali yapo na mengine ambayo yapo tunaweza kushare hapa kwa wale wazoefu wa kwenda kupima. Yaani siku nikienda kupima UKIMWI huyo daktari atapata tabu sana maana majibu atakayopewa nikirudi tena baada ya miezi mitatu harudii tena.
Ny the way vijana tujitahidi kupima UKIMWI ili tuwe safe na wapenzi wetu. Na raha ya tendo mchezo ufanyike kavu kavu yaani unasikia utamu hadi kwenye ubongo.
Sema huu ugonjwa siku utakapojijua umeukwaa ndo hapo hapo magonjwa mengine yanaanza kukuandamaa.
Hivi ukiwa umeathirika inakatazwa hadi kusex hata kama utavaa mpira jamani nauliza tu? Na je mfano ndo mmeathirika wote na mpenzi wako kuna madhara gani yanaweza kutokea endapo mtaendelea kufanya tendo bila kinga?
Ahsanteni.
Kuna mmoja alinikera sana na hayo maswali yake kwani aliniuliza kilichokusukuma hadi uje upime nilichomjibu ni siri yangu na yeye.Daaah! hili gonjws jamani la UKIMWI linatisha sana kwanza linatisha zaidi pindi unapoenda kupima.
Madaktari huwa wanazingua sana na maswali yao kiasi kwamba yanamfanya mtu mpaka anakata tamaa ya kuendelea kupima huo ugonjwa aisee..
Unakuta daktari anakuuliza kijana umejifikiria nini kuja kupima UKIMWI. Daah swali linakera kweli yaani mwingine anakuambia hivi huwa unatumia kinga au hutumii na kama hutumii mwenzako huwa unamuamini kwa kiwango gani?
Akimaliza hapo anakuambia ikitokea umekutwa wewe ni muathirika utachukua hatua gani? Daaah haya maswali huwa yanachosha sana.
Binafsi sijawahi kwenda kupima ila najua haya maswali yapo na mengine ambayo yapo tunaweza kushare hapa kwa wale wazoefu wa kwenda kupima. Yaani siku nikienda kupima UKIMWI huyo daktari atapata tabu sana maana majibu atakayopewa nikirudi tena baada ya miezi mitatu harudii tena.
Ny the way vijana tujitahidi kupima UKIMWI ili tuwe safe na wapenzi wetu. Na raha ya tendo mchezo ufanyike kavu kavu yaani unasikia utamu hadi kwenye ubongo.
Sema huu ugonjwa siku utakapojijua umeukwaa ndo hapo hapo magonjwa mengine yanaanza kukuandamaa.
Hivi ukiwa umeathirika inakatazwa hadi kusex hata kama utavaa mpira jamani nauliza tu? Na je mfano ndo mmeathirika wote na mpenzi wako kuna madhara gani yanaweza kutokea endapo mtaendelea kufanya tendo bila kinga?
Ahsanteni.
daaah! madaktar wanatakiwa kujiupdate jamaniKuna mmoja alinikera sana na hayo maswali yake kwani aliniuliza kilichokusukuma hadi uje upime nilichomjibu ni siri yangu na yeye.
lakini hayo majibu huwa accuracy yake ni % ngap???Tafuta kifaa chakujipima mwenyewe haitaki stress hiyo dk 10 mpaka 20 majibu unayo mwenyewe hakuna umbea hapo
dawa yake kataa kabisa na kaa mbali na kupima mzee!! maisha raha sana ukiishi bila kuogopeshwaogopeshwa.Mimi hapa mwenyewe sijapata usingizi jana nimekiss na mtu ambaye hata simwamini sijui itakuaje na kwenda kupima naogopa napata na mawazo hata kula nashindwa
Naomba kuuliza hv kulana denda kunaambukiza ukimwi?
NB bado sijasex nae
anaenda kupima ili atabiriwe atakufa lini!!Kama mwili haunyanyooka nywele ziko vilevile za kawaida hazijanyonyoka kwenye domo hauna madonda hauna homa na kifua kikali kisichoisha cha marakwamara uzito unapima haupungui hauna magonjwa nyemelezi nikuulize wewe unaenda kupima ili ugundue nini ?
HahahahMimi hapa mwenyewe sijapata usingizi jana nimekiss na mtu ambaye hata simwamini sijui itakuaje na kwenda kupima naogopa napata na mawazo hata kula nashindwa
Naomba kuuliza hv kulana denda kunaambukiza ukimwi?
NB bado sijasex nae
You're absolutely rightdaaah! madaktar wanatakiwa kujiupdate jamani