Hizo ni kura za wajumbe wanaowajilisha majimbo waliyoshindaNdugu watazamaji mimi naomba mnisaidie kunielewesha hii ya Trump 289 na Clintoni 218 hayo ni majimbo ni asilimia au ni kitu gani mnifafanulue kwa upendo ndugu zangu ili nielewe.
kwa kifup kila jimbo lina idadi yake ya kura za rais kutegemea na ukubwa na idad ya watu katka jmbo, so jmbo unaloshnda hzo kura ni zako,Ndugu watazamaji mimi naomba mnisaidie kunielewesha hii ya Trump 289 na Clintoni 218 hayo ni majimbo ni asilimia au ni kitu gani mnifafanulue kwa upendo ndugu zangu ili nielewe.
Wabongo wanafiki sana .
Nyie mlishindwa kumpigia mama Anna Mgwira,
halafu mnataka wenzenu wamchague Hillary Clinton.

Well explained...uchaguzi wa marekani ni uchaguzi wa kupigiwa mfano kwa wenye muungano wa zaidi ya nchi moja kama marekani ilivyo na states 50 kwa maana ya nchi 50.
ni uchaguzi ambao kila state ina haki ya kuchagua raisi iwe state ndogo au kubwa watu wengi au kidogo wote wanapata haki sawa kwenye kumchagua raisi wa marekani kwa sababu ya kutumia electoral votes,kila state ina electoral vote zake kwa hio ushindi wa raisi unapatikana kwa wingi wa electoral votes na sio wingi wa kura za watu.
wangelikuwa wanafata wingi wa kura za watu states ndogo zisingekuwa na haki ya kuchagua raisi,ni kama hapa kwetu na muungano wetu zanzibar haina haki ya kuamua ushindi wa raisi kwa sababu ya zanzibar watu ni kidogo na tanganyika watu ni wengi sana kwa hio anaepata haki ya kuchagua raisi wa tanzania katika muungano huu wa states mbili ni tanganyika tu
Kura ya majimbo maana yake ni.kila jimbo lina point.limepewa.unaweza ukapata kura nyingi katika jimbo Fulani.lakini like jimbo halina point nyingi.Ndugu watazamaji mimi naomba mnisaidie kunielewesha hii ya Trump 289 na Clintoni 218 hayo ni majimbo ni asilimia au ni kitu gani mnifafanulue kwa upendo ndugu zangu ili nielewe.
Mmh ...Wao walikuwa wanashindania majimbo ambayo 270