lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Hivi ni kwanini wakati wa sherehe watu wakipiga mafataki lazima wayaelekezee juu angani? Kwanini wasiyaelekezee kiwima yaani kiulalo kushoto au kulia au hata chini ardhini kwani si litatoa rangi rangi na sauti tu bila madhara yoyote kwa raia!!
Sasa tujuzane hapa, kwanini mafataki uelekezwa juu angani?
Sasa tujuzane hapa, kwanini mafataki uelekezwa juu angani?