ww mzungu? Ama huna kwenu? Si kweli, wachaga wana vyoo vya kisasa. Labda kama kuna sehemu unafikisha sms.
Hili tukio la wachaga kwenda kuhesabiwa huwa linatamkwa sana kipindi kikifika. Yafaa liwekwe kwenye kalenda zetu!
Hivi Tanzania inakaa wachaga tu, wengine huwa hawaendi makwao kipindi cha sikukuu?