Ni kweli mkuu nilikutana nae kama nilivyoeleza siku ya 4 na 5 akiwa katika siku zake mwishoni. Hapa ndipo ninapochanganyikiwa.Ina maana ulifanya nae tendo la ndoa akiwa ndani ya siku zake?? yani siku 4 na ya 5 ya hedhi???? duh!!!!. Kama una uhakika na hesabu zako ni ngumu hiyo mimba kuwa yako kama una uhakika kweli mana hapo mayai ndo yametoka kuharibika na kutoka (hedhi) hata hayo mayai mengine bado kutengezwa, ila kitanda hakizai haramu, hebu kaa nae umbane vizuri anaweza akakwambia ukweli. pole sana
Asante.Siku hizi kila mtu mjuaji; Siasa humo, Dini humo, usanii humo, Utabibu humo na ndio maana kuna changamoto kwenye ndoa nyingi.
Wazee wa zamani haya mambo ya ujuaji kwenye ma terehe nk, hawakujali ndio maana wamekaa miaka 30+ kwenye ndoa.
Sina cha kukushauri, zaidi ya kupunguza ujuaji ili uwe na AMANI na IMANI.
Kila la kheri!Asante.
Asante mkuu, maana nimeisha changanyikiwa.Mkuu njia hiyo sio salama sana mimi nilikuwa ni mtumiaji mzuri sana wa njia hizo za asiri lakini nilisha achana nayo mara 2 wife alinasa mimba na wife wangu ni muaminifu sana kwenye ndoa yake kuliko mimi.hiyo mimba nina uhakika ni yako labda iwe km shemeji ni kicheche
kulea watoto wa wenzako ndio AMANI yako?Siku hizi kila mtu mjuaji; Siasa humo, Dini humo, usanii humo, Utabibu humo na ndio maana kuna changamoto kwenye ndoa nyingi.
Wazee wa zamani haya mambo ya ujuaji kwenye ma terehe nk, hawakujali ndio maana wamekaa miaka 30+ kwenye ndoa.
Sina cha kukushauri, zaidi ya kupunguza ujuaji ili uwe na AMANI na IMANI.
Nashukuru kwa elimu yako hii hapa nijiandae tu DNAUhakika wa mimba kuingia;
Kama mzunguko wa mke wako ni siku 28, hesabu kuanzia siku ya kwanza ya hedhi, siku ya kupata ujauzito ni ya 12, 13, 14, 15 na 16. Ila uhakika zaidi ni siku ya 14. Hizo siku mbili mbele na mbili nyuma ni kubahatisha. Siku nyingine zilizobaki ni salama. Ikitokea hivyo basi ni muujiza au ana tatizo kwenye mzunguko wake.
Kama ratiba yake ni siku 32, siku ya kupata ujauzito ni siku ya 16 jumlisha siku mbili mbele na mbili nyuma yaani siku ya 14 hadi 18. Unaanza kuhesabia siku anaanza kuona hedhi.