Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Vipi mashabiki, mambo, habari za leo, ni Siku nyingine murwa kabisa , natumai kila mmoja ni bukheri wa afya......Hivi nimesikia fununu na hata baadhi ya vyombo vya habari vikisema kuwa Manchester United huenda ikamfuta kazi kocha David Moyes kwa matokeo mabaya ya MAN U..........Naye Moyes amekuwa akiwalalaumu Marefa kwa mchezo mbovu wa wachezaji wake.....kama shabiki wa Man U unasemaje kwa hili? Ni sawa Moyes atimulie au apewe muda zaidi wa kuimarisha timu? Ne matokeo mazuri ya timu yanategemea kocha pekee?