O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,396 Dec 28, 2013 #1 Habari wadau, Naomba kujua sehemu (kwa Dar) ambayo naweza ku-upgrade OS Blackberry 8520, V.5 kwenda OS ya juu zaidi (current). Natanguliza shukrani zangu.
Habari wadau, Naomba kujua sehemu (kwa Dar) ambayo naweza ku-upgrade OS Blackberry 8520, V.5 kwenda OS ya juu zaidi (current). Natanguliza shukrani zangu.
EngineerLMG Senior Member Joined Nov 28, 2013 Posts 125 Reaction score 75 Dec 28, 2013 #2 Wacha zako. Blackberry imepitwa na time. Kama tu vile Symbian ilipitwa. Tupa hiyo simu ununue Windows Phone ama Android.
Wacha zako. Blackberry imepitwa na time. Kama tu vile Symbian ilipitwa. Tupa hiyo simu ununue Windows Phone ama Android.
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,396 Dec 28, 2013 Thread starter #3 Kwa matumizi yangu bado Blackberry inanifaa sana kwa sasa! Nina kila sababu ya kuipenda BB!
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,972 Reaction score 22,437 Dec 29, 2013 #4 install 'BlackBerry Desktop Software' alafu unganisha simu yako na computer kupitia cable yake then
dendizzo JF-Expert Member Joined Jun 1, 2012 Posts 966 Reaction score 1,345 Dec 29, 2013 #5 Bb curve 8520 ni non upgradable. Hapo ndo mwsho km unataka latest os nunua z10 au q10.
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,396 Dec 30, 2013 Thread starter #6 Never give up na dendizzo asanteni kwa msaada wenu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016