Nina TECNO H5 na android version yake ni 4.2 Jelly Bean...Je, kuna uwezekano wa kuipeleka Version nyingine yani Android 4.4 Kit Kat???
Kwa anaejua tafadhali

even custom rom zinakuwa fake, sababu mediatek hatoi source code. unapewa custom rom ya version ya juu lakini ukitaka kueka apps za hio version zinakataa

Most of the time inakuwaga ni ileile stock rom lakini wanabadilisha icons na launchers na kukuwekea apps kibao zisizo na maana.
Mfano hii ilikuwa ni custom rom za akina tecno p3 na n3 kipindi hicho