code47 Member Joined Apr 13, 2014 Posts 26 Reaction score 13 Oct 12, 2016 #1 Naomba msaaada kufaham linki ambayo naweza kudownload file ya kuweza kuapgrade android version hii mpya ya kitkat 4.4.4
Naomba msaaada kufaham linki ambayo naweza kudownload file ya kuweza kuapgrade android version hii mpya ya kitkat 4.4.4
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,700 Reaction score 4,126 Oct 12, 2016 #2 nenda setting kisha search about phone then tafuta system update utaupdate simy yako
code47 Member Joined Apr 13, 2014 Posts 26 Reaction score 13 Oct 12, 2016 Thread starter #3 Officially hawajaiweka nataka nifanye RM update natumia huawei ascend y 300 nataka Link ambayo naweza kudownload hiyo update file
Officially hawajaiweka nataka nifanye RM update natumia huawei ascend y 300 nataka Link ambayo naweza kudownload hiyo update file
code47 Member Joined Apr 13, 2014 Posts 26 Reaction score 13 Oct 12, 2016 Thread starter #4 Itakua poa sana nikipata msaaada chief
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Oct 12, 2016 #5 huawei y300 haina update hivyo ukitaka kitkat,lollipo na zingine lazima uweka custom rom kama slim kat na cynogenmod au miui
huawei y300 haina update hivyo ukitaka kitkat,lollipo na zingine lazima uweka custom rom kama slim kat na cynogenmod au miui
code47 Member Joined Apr 13, 2014 Posts 26 Reaction score 13 Oct 12, 2016 Thread starter #6 Ok sasa indio nataka nijue nazipataje hizo appfile maaana nikizigugo naona kizunguzungu kama unaweza pata slimya kitkat link I nisaidie arif b
Ok sasa indio nataka nijue nazipataje hizo appfile maaana nikizigugo naona kizunguzungu kama unaweza pata slimya kitkat link I nisaidie arif b
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,029 Oct 12, 2016 #7 code47 said: Ok sasa indio nataka nijue nazipataje hizo appfile maaana nikizigugo naona kizunguzungu kama unaweza pata slimya kitkat link I nisaidie arif b Click to expand... PHONE TRICK: JINSI YA KUWEKA ANDROID 4.4.4 (KITKAT) KWENYE HUAWEI Y300 Hiyo link pitia tena ipo kweny kiswahili
code47 said: Ok sasa indio nataka nijue nazipataje hizo appfile maaana nikizigugo naona kizunguzungu kama unaweza pata slimya kitkat link I nisaidie arif b Click to expand... PHONE TRICK: JINSI YA KUWEKA ANDROID 4.4.4 (KITKAT) KWENYE HUAWEI Y300 Hiyo link pitia tena ipo kweny kiswahili
code47 Member Joined Apr 13, 2014 Posts 26 Reaction score 13 Oct 12, 2016 Thread starter #8 Yeah il a jamaaa anaelekeza namna ya kuiupgrade mpaka uwe umeidownload sasa linki ya kudownload ndio hajaisema
Yeah il a jamaaa anaelekeza namna ya kuiupgrade mpaka uwe umeidownload sasa linki ya kudownload ndio hajaisema