shaks001
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 1,246
- 1,070
Kama kawaida yetu watanzania na kushabikia jambo fulani kwa hisia na mihemko ya hali ya juu linapotokea lakini baada ya muda tu tunasahau na kuendelea na maisha yetu tuliyoyazoea.
Kwa ufupi sio wafuatiliaji wa mambo na kama ni timu basi inakuwa na pumzi kipindi cha kwanza,kipindi cha pili hoi.
Hivi ile ishu ya January Makamba, dada yake na yule mzungu iliishia wapi vilee?