tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,759
- 768
tunakubali kwamba chadema ilikuja na upepo mkali .
lakini tunasahau kuwa hata upepo ni kitu cha msimu.
wana chama naomba tukubali huu upepo umekata na msimu wa chama hichi umepita labda tupeleke nguvu zetu chama kingine. umoja ni nguvu.
watu waliokuwa wanene zamani naona wamepungua uzito kwasababu ya huu msiba.
natoa siku 10 naomba maelezo kwanini chadema isishuke kwenye duru za siasa.