Hamna wanaohonga ni akina mama, watu wazima, vile visichana na akina dada bado wanadanga tu hamna jipyaHabari wakuu,
Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga.
Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea.
Zile kelele za kuhusu wanawake wanaomba pesa saivi zimekwisha maana vidume vinapewa pesa na wanawake.
Uzuri ni kuwa wanawake wao hawasemi ni kimya kimya unahongwa huku kazi yako kupasha mashine.
Naona ni badala ya kuona vilio vya wanaume wabahili wameona wajiongeze.
Wanawake nao wamekuwa wajanja wanajua kusaka pesa kuliko wanaume.
Wanaume msipokuwa makini ile hamsini kwa hamsini itawapata...
Doncute
Hao wanawake wa aina hiyo wako wachache sana. Nikwambie tu ukweli donatila, wako wachache.Habari wakuu,
Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga.
Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea.
Zile kelele za kuhusu wanawake wanaomba pesa saivi zimekwisha maana vidume vinapewa pesa na wanawake.
Uzuri ni kuwa wanawake wao hawasemi ni kimya kimya unahongwa huku kazi yako kupasha mashine.
Naona ni badala ya kuona vilio vya wanaume wabahili wameona wajiongeze.
Wanawake nao wamekuwa wajanja wanajua kusaka pesa kuliko wanaume.
Wanaume msipokuwa makini ile hamsini kwa hamsini itawapata...
Doncute
Ahahahahahahahah bado sanaaMm napenda pesa jaman shemeji yenu akinipa hayo mauno ninayomkatikia kama feni za panga boy nikianza kuonga nitakuwa gogo kitandani
Yah afanye tena research, maana huku mtaani bado ni shida, hadi kodi wanalipiwa na mababa mbalimbali, huyo anayehonga ni mmama tu mtu mzima anayejiweza ila wadada hawahongi kamwe, inshort nikimwona ambaye hadangi ni km kumwona kakakuona mtaaniHao wanawake wa aina hiyo wako wachache sana. Nikwambie tu ukweli donatila, wako wachache.
Na inategemea ana hulka gani. Asilimia kubwa ya wanawake bado wanaomba pesa, na si dhambi kuomba pesa ila omba kwa utaratibu maalumu.
Kama unazungumzia wadada wa dar( hapa si wote) wale wanajiita slay queens kutwa kusginda saloon , vibarazani aisee unapotosha.
Rudi mtaani ufanye research dada..
Wanawake wa wapi hao ?Habari wakuu,