Wa Sinza tupeni taarifa. kinyesi kilishatapakaa. Wa Manthesay nanyi hapo kwa mfuga mbuzi vipi. Kimara shwari ila foleni ndi usipime. ambao hutumia njia za paka leo wote wako njia kuu. madaraja ya kichina yote sijui Kibangu sijui Goba kote hamna kitu.