Upendo wa mama wazidi wote

the picture is real lakini story yake ni fake ,huyo impala alikua anaumwa na alishidwa kukimbia,pthat's why unaona hata kujitetea hawezi kwasababu alikua sick
phographer Alison buttigiet amethibitisha hilo katika account yake ya Instagram na kusema ni watu tu waliamua kutengeneza story ili kupata likes nyingi katika page zao

unaweza kuona mwenyewe alichosema kupitia hiyo link
 
hii ni screenshot akijibu moja ya comment katika hiyo picha kwenye account yake ya instagram
 
Kwaiyo mkuu ali liwa au mbna uja malzia au duma nao iliwachomo moyo waka muacha[emoji23][emoji23]
 
the story is fakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
eleweni basi hakuna cha upendo wala upondo apo mnyama hana akili hiyo
 
Is this can we so call love? Look other side ukatili wa mama kuwafundisha wanawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…