chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,289
- 25,680
Nimekosea kumuweka naomba nielekeze namna ya kuifuta.
Ila na wewe mkuu si una standard za mke unaemtaka!!
Sio kila mke tu ata akiwa mzuri kiasi gani.
Acha tuHahah.
Dah...kizungumkuti.
mie siachi blaza....eat and run...run awayMkuu usiseme hivo.
Usimalize maneno...inaweza kufika mda na wewe ukashindwa kumkubalia manzi ata kama mzuri lakini haendani na vipengele flani.
Ipo hivo.
Kama unavyonchukulia poa mimi[emoji848]
[emoji849]Jamaa Ana bahati anakuchukulia powa hata wewe
Kama mimi, honestlty sikuwahi mgegeda kabisa...Same case mkuu...kikubwa unakuwa hujamgegeda sasa sijui anachokumbuka ni nini!!??
Kwahiyo ndo yeye kweli?Nimekosea kumuweka naomba nielekeze namna ya kuifuta.
Ila na wewe mkuu si una standard za mke unaemtaka!!
Sio kila mke tu ata akiwa mzuri kiasi gani.
Kama unavyonchukulia poa mimi[emoji848]
Ndo ugundue sasaSijawahi gundua hilo