hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Jun 19, 2016 #2 Hiyo uinawezekana kwa wahindi tu.
Baba rai JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 228 Reaction score 292 Jun 19, 2016 #3 Hayo sasa ni mahaba na sio upendo tena
Mvumbo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 3,491 Reaction score 12,168 Jun 19, 2016 Thread starter #4 Ni moyo wa dhati wa kuthamini roho zaidi
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,635 Reaction score 89,399 Jun 19, 2016 #5 ndo katoka kujifungua nini...?!! wanajua maziwa yapo yakutosha wacha wampende
BoGotta JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 740 Reaction score 675 Jun 19, 2016 #6 Jinsi unavyomuona mwanao kalala tu room baada ya kudisco chuo.
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,827 Jun 19, 2016 #7 Huyo ataachia samadi hapo muda si mrefu
SupuyaPweza JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 914 Reaction score 472 Jun 20, 2016 #8 Du! umenikumbusha waTZ... kabla ya uchaguzi wanadekezwa design hii hii mapromise kibao, hawajui wamewekwa kitandani kwa 'gelesha', baada ya uchaguzi ni sawa na mwenye ng'ombe akiwa na njaa... atachinjwa tuu!
Du! umenikumbusha waTZ... kabla ya uchaguzi wanadekezwa design hii hii mapromise kibao, hawajui wamewekwa kitandani kwa 'gelesha', baada ya uchaguzi ni sawa na mwenye ng'ombe akiwa na njaa... atachinjwa tuu!
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jun 20, 2016 #9 Ukiweka maneno kama hiv , itapendeza
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jun 20, 2016 #10 Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]