Upendo wa Agape kwa Polisi

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,195
Reaction score
10,709
Hivi sasa unaambiwa kuwa polisi wanatembelea nyumba kwa nyumba kuwajulia hali wananchi.

Pichani: Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Lupakisyo Mwakyusa ametembelea familia ya Mzee Mabile Nunda na Bi. Chambi Licholi wa Kijiji cha Bilulumo, kwa lengo la kuwajulia hali na kusikiliza kwa makini changamoto wanazokabiliana nazo, ikiwa ni pamoja na changamoto za usalama na maisha ya kila siku.
 
Bado wataendelea kupukutika mdogomdogo hadi kubaki kweupe hata wajivishe manyoya ya mbuzi.
 
Halafu ukienda kituoni kueleza shida zako wanataka rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…