Hivi mshawahi kukutana physically wewe na
Lucas Mwashambwa ? Msije mkabadili IDs zenu humu.
Siku mnakutana unaweza kukuta
ephen_ ana sura kama mwanaume, mfupi, magulu baja na kabakisha jino moja tu kinywani. Na Lucas ana sura kama majeruhi wa moto, cha pombe, ana mapunye kichwa kuzima, meno yote anayo lkn yana rangi ya karoti.