π π πTungoje miongozo ya upendo
Nani gharama kubwa kwakweliAisee ni complicated sana maana upendo hauna hata sababu kabisa
upendo wa kweli ndio kama wa Lucas Mwashambwa kwa mama. Huwa anabubujikwa sana na machozi kwa ajili yake.π π π
Lucas Mwashambwa kumpenda ephen_ sijui ni kwa vigezo vipi? Maana ephen_ anataka kuwa Platnum Member ili athibitishe kama anapendwa na Chawa Mwashambwa πππ
Hebu ephen_ kuja hapa utoe tafsiri ya upendo
Hata mimi sijui maana sahihi ya Upendoπ π π
Lucas Mwashambwa kumpenda ephen_ sijui ni kwa vigezo vipi? Maana ephen_ anataka kuwa Platnum Member ili athibitishe kama anapendwa na Chawa Mwashambwa πππ
Hebu ephen_ kuja hapa utoe tafsiri ya upendo
Kwahiyo na Lucas ni huo upendo wa bila sababu? π π πHata mimi sijui maana sahihi ya Upendo
Ila kutokana na uzoefu wangu nimeona kuna upendo wa aina mbili
1. Upendo unaokuja na sababu
2. Upendo unaokuja bila sababu
Kuhusu mimi na Lucas mambo yetu mtuachie sisi wenyewe..!π€Έ
Narudia tenaKwahiyo na Lucas ni huo upendo wa bila sababu? π π π
Nampenda Sanaaaa ephen mpaka naumwa.upendo wa kweli ndio kama wa Lucas Mwashambwa kwa mama. Huwa anabubujikwa sana na machozi kwa ajili yake.
Kuhusu huyo mwingine mambo yao nawaachia wenyewe.
Kwa sababu moyo wangu umempenda sana mpaka nimekuwa kipofu wa macho kwa kuona ni ephen pekee ndiye aliyezaliwa kama binti hapa DunianiSababu ya kumpenda? π π π
Unaumwa nini sasa πNampenda Sanaaaa ephen mpaka naumwa.
Hivi mshawahi kukutana physically wewe na Lucas Mwashambwa ? Msije mkabadili IDs zenu humu.Narudia tena
'Mambo yetu mtuachie mwenyewe'
Upendo hutengeneza daraja lakini je hisia zao ziko kamili? π π πHivi mshawahi kukutana physically wewe na Lucas Mwashambwa ? Msije mkabadili IDs zenu humu.
Siku mnakutana unaweza kukuta ephen_ ana sura kama mwanaume, mfupi, magulu baja na kabakisha jino moja tu kinywani. Na Lucas ana sura kama majeruhi moto, cha pombe, ana mapunye kichwa kuzima, meno yote anayo lkn yana rangi ya karoti.