Tuanzapo mahusiano tunamini huyu sawa na yule lakini rahasha ebu tukipata wapenzi tutulie hata tukigundua mwenza wetu hawajatulia basi sisi tutulie tujikinge tu na maradhi mwisho wa siku nao mwenza wetu watatulia kwani watamini sisi tuna upendo wa kweli tusitake shindana nao tutaishia maliza mabucha na nyama ile ile
Sawa papuchi zinatofautiana lakini tendo si lile lile kwamba mwisho wa siku lazima ukojoe/utoe mbegu? Ndo maana unaambiwa nyama ile ile hata ukienda bucha zingine.nani kakudanganya kuwa nyama ni ile ile? papuchi zinatofautiana ati....
Tatizo latu ni kuwa kila mmoja anaamini yeye ni bora kuliko mwenzake
"
Lakini kibaya zaidi tumejiwekea madaraja.
"
Mtu anajiaminisha yeye si mtu wa kuwa na mtu fulani.Tunajitesa kwa kudhani kuna binadamu alie bora kuliko mwingine
"
Mpaka siku tutakaporudi kwenye maumbile ndipo binadamu atayafurahia maisha
"
Tutamtafuta sana mchawi na hatutampata!
Sawa papuchi zinatofautiana lakini tendo si lile lile kwamba mwisho wa siku lazima ukojoe/utoe mbegu? Ndo maana unaambiwa nyama ile ile hata ukienda bucha zingine.