Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,743 Reaction score 22,659 Oct 10, 2017 #21 Billy Walters II said: God knows umeandika kuhusu kuagiza kwa 650,000/=, nimekuwa nikijaribu kuwatafuta watu wanaoweza kunifikishia hii kitu hapa bongo bila mafanikio. Nataka kujua kama unaweza kusaidia jinsi ya kufanikisha hili swala mkuu. Click to expand... Je mzigo unatoka nchi gani? Ninaweza kukufikishia nchini. Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Billy Walters II said: God knows umeandika kuhusu kuagiza kwa 650,000/=, nimekuwa nikijaribu kuwatafuta watu wanaoweza kunifikishia hii kitu hapa bongo bila mafanikio. Nataka kujua kama unaweza kusaidia jinsi ya kufanikisha hili swala mkuu. Click to expand... Je mzigo unatoka nchi gani? Ninaweza kukufikishia nchini. Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
K Kocha Mkuu JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,862 Reaction score 3,321 Oct 10, 2017 #22 Mwl.RCT said: Je mzigo unatoka nchi gani? Ninaweza kukufikishia nchini. Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Click to expand... Nimeiona hii thread mkuu, nataka kupata Nokia 6. Ninajaribu kucheki Dubai, nitakupa link unipe ushauri.
Mwl.RCT said: Je mzigo unatoka nchi gani? Ninaweza kukufikishia nchini. Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Click to expand... Nimeiona hii thread mkuu, nataka kupata Nokia 6. Ninajaribu kucheki Dubai, nitakupa link unipe ushauri.
Rooney JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 3,781 Reaction score 3,942 Oct 10, 2017 #23 Mwl.RCT said: Je mzigo unatoka nchi gani? Ninaweza kukufikishia nchini. Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Click to expand... Out of topic mkuu.. Hivi pia unatoa huduma za kulipia lets say official license za apps online'?
Mwl.RCT said: Je mzigo unatoka nchi gani? Ninaweza kukufikishia nchini. Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Click to expand... Out of topic mkuu.. Hivi pia unatoa huduma za kulipia lets say official license za apps online'?
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,743 Reaction score 22,659 Oct 10, 2017 #24 gp1rooney said: Out of topic mkuu.. Hivi pia unatoa huduma za kulipia lets say official license za apps online'? Click to expand... Sahihi, Hili pia linafanyika. Utanitumia link kwa whatsapp 0784 496 856 Then nakamilisha manunuzi/ malipo within 3minutes karibu
gp1rooney said: Out of topic mkuu.. Hivi pia unatoa huduma za kulipia lets say official license za apps online'? Click to expand... Sahihi, Hili pia linafanyika. Utanitumia link kwa whatsapp 0784 496 856 Then nakamilisha manunuzi/ malipo within 3minutes karibu
Rooney JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 3,781 Reaction score 3,942 Oct 12, 2017 #25 Mwl.RCT said: Sahihi, Hili pia linafanyika. Utanitumia link kwa whatsapp 0784 496 856 Then nakamilisha manunuzi/ malipo within 3minutes karibu Click to expand... Poa mkuu..ntakuchek huko.
Mwl.RCT said: Sahihi, Hili pia linafanyika. Utanitumia link kwa whatsapp 0784 496 856 Then nakamilisha manunuzi/ malipo within 3minutes karibu Click to expand... Poa mkuu..ntakuchek huko.