Niliagiza hii niliyonayo hapa mkononi (Nokia 6) kutoka nje ya Tanzania na ilinifikia kama mwezi mmoja uliopita kwa gharama ya TZS 650 said:Naomba kujua jinsi ya kuagiza mkuu,
Mimi nazikubali sana Nokia
Duh! Chief huchelewi..Hongera kwa kutumia simu ya 650,000/= wengine huku tutaishia kuzisikia tu
Duuh mkuu ndio nimeingia online muda sio mrefu mkuuDuh! Chief huchelewi..
Nokia wako smart kuliko Tecno
Hizi kweli dharau. Kufananisha Nokia na Tekno. Tofauti zao ni kama ardhi na mbingu.
Hahahahaa wadau samahaneni sanaMkuu hizi ni dharau kwa Nokia.
God knows umeandika kuhusu kuagiza kwa 650,000/=, nimekuwa nikijaribu kuwatafuta watu wanaoweza kunifikishia hii kitu hapa bongo bila mafanikio.
Nataka kujua kama unaweza kusaidia jinsi ya kufanikisha hili swala mkuu.
Mkuu naogopa kushiriki kwenye huu mchakato wa kuagiza. Sina uzoefu sana. Kuna vitu nilishawahi agiza kipindi cha nyuma na vikapotea.
Kuna mtu humu huwa anaagiza na unamlipa commission kidogo. Unaweza kumtumia huyo kuagiza. Ila pia zipatikana Jumia.
View attachment 606200
jaribu kutumia service ya Mwl.RCT nimeitumia mimi kama unapanga vizuri bidhaa zako ni rahisi.Unajua kwa 650,000 na hiyo 987,000 unaokoa around 340,000, si haba kwa maisha yalivyobana now, hata nikitoa 700,000 bado ni fair.
Sema ubaya mmoja, hizi product za kuagiza kama ebay na amazon zinakuwaga mchina sometimes.
Usijali mkuu, ngoja nitafute solution nyingine.
jaribu kutumia service ya Mwl.RCT nimeitumia mimi kama unapanga vizuri bidhaa zako ni rahisi.
hizi Nokia mpya bei rahisi unazipata UAE kama ni abudhabi, dubai, etc
ukiconvert kwa tsh ni kama 489,000 kwa Nokia 6
kununua bidhaa nyingi toka muuzaji mmoja ili ku share shipping na gharama za nyengine za kuletewa.Okay, hapo kwenye kupanga vizuri ndo sijakuelewa.
kununua bidhaa nyingi toka muuzaji mmoja ili ku share shipping na gharama za nyengine za kuletewa.
mfano gharama ya kuileta Tanzania ni 50,000 ukiamua unaweza ukatoa mwenyewe, au mnaweza mkanunua watu wawili simu then mkashare gharama ya shipping hapa gharama inapungua.