Upendo ni nini!?

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
913
Reaction score
547
Upendo ni nini!?
Upendo ni kujua thamani ya utu wa mtu..
Wewe kwako upendo ni nini!? Je ulishawahi kupenda au kupendwa na ukajisikiaje katika hisia zako?
 
Nilisikia definition yake kwenye movie ya kanumba (moses). Ni ngumu kweli. Ila ni ishu ya kuhusu kufullfill obligations kwa mwenzako.
 
Upendo ni hali ya kuingiwa na mtu au kitu moyoni mwako na kumthamin au kukithamini
 
Maana halisi ya upendo ni pale anayependwa naye akapenda kama anavyopendwa

Ukipendwa pendeka, Mpende akupendae, asiekupenda achana nae tu usijipe maumivu ya moyo
Kaka mbona umeongea kwa hisia sana

Kwema huko uliko ?
 
Upendo ni nini!?
Upendo ni kujua thamani ya utu wa mtu..
Wewe kwako upendo ni nini!? Je ulishawahi kupenda au kupendwa na ukajisikiaje katika hisia zako?
 

Attachments

  • FB_IMG_1498282765049.jpg
    34 KB · Views: 119
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…