Mr Zombie Member Joined Jan 26, 2022 Posts 83 Reaction score 45 Jun 20, 2022 #1 Hivi wakuu mnafikiri kuwa upendo ni HISIA au CHAGUO? Kuwa makini katika kujibu nimeongelea upendo na sio mapenzi. Its zombie intelligent
Hivi wakuu mnafikiri kuwa upendo ni HISIA au CHAGUO? Kuwa makini katika kujibu nimeongelea upendo na sio mapenzi. Its zombie intelligent
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,637 Reaction score 860,806 Jun 20, 2022 #2 Upendo sio hisia wala sio chaguo bali upendo ni kipawa
Scania 113 Member Joined Apr 3, 2020 Posts 25 Reaction score 129 Jun 20, 2022 #3 Upendo ni chaguo,,,unajua ukikaa na mtu muda mref mwish wa siku unakua na upendo nae hata kma ni wa kawaida tuu wanasma love glow upend unakua sabab ya kuchagua
Upendo ni chaguo,,,unajua ukikaa na mtu muda mref mwish wa siku unakua na upendo nae hata kma ni wa kawaida tuu wanasma love glow upend unakua sabab ya kuchagua
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,487 Reaction score 68,281 Jun 20, 2022 #4 Kwangu upendo ni hisia ukiwa mgeni, ila ukishakomaa akili unakuwa chaguo.