Hizi ni dunia mbili zinazotawala moyo wa mtu, kifo cha upendo ni kuzaliwa kwa chuki na kifo cha chuki ni kuzaliwa kwa upendo.
Na hivi viwili haviwezi kukaa pamoja kwenye moyo mmoja ni kama usiku na mchana haviwezi kutawala kwa pamoja.
Is simple to hate, is hard to love.
Tunachukia haraka na tunapenda taratibu.
Hate is common ,true love is rare.
Chuki ni kawaida, upendo ni adimu.
Hate is misunderstanding , love is understanding.
Ukielewa utapenda, usipokielewa utakichukia.
Hate is darkness, love is sunshine.
Chuki ni giza, upendo ni nuru.
Is so easy to spell love but difficult to practice, is so hard to spell hate but simple to practice.
Kutamka nakupenda ni vyepesi ila kuliwajibikia hilo neno ni kazi nyingine, ni ngumu mtu kusema nakuchukia ila ni vyepesi kukuchukia.
Love is to pay the price, but to hate is free.
Kupenda ni kuripa gharama ila kuchukia hakuna gharama.
Upendo huboresha na kuupa afya moyo ila chuki huchakaza moyo hadi uso!🤔
Hapa ni wewe unachagua ni kipi unachohitaji.