Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,114
- 55,533
- Thread starter
- #21
ha ha ha ha,sijajua ni nani yuko sahihi;kwa sababu mapenzi ni sanaa pamoja na hisia zaidiwote n wakosa adabu
ha ha ha ha,sijajua ni nani yuko sahihi;kwa sababu mapenzi ni sanaa pamoja na hisia zaidiwote n wakosa adabu
ha ha ha ha huku walishazoea kukimbizana tuHayo yanafanyika huko mbele kwa bongo mdada anaweza ruka na akakuuliza mm sifanyi mchezo huo
ha ha ha ha na ukipata kofi hutotamani kuwa naye....Kibongobongo hata kama ni mchumba ako ukimshika hivyo hadharani utakula kofi hilo hutaamini
Kila mmoja ana tafsiri yake ya upendo.Kushikana nyero hadharani ndo upendo.
Kama upo aisee.Kila mmoja ana tafsiri yake ya upendo.
Huku kwetu mwanamke husipomtandika makonde kila siku huwa anahisi hapendwi.
Ha ha ha ha inawezekana hisia zetu sisi weusi ni tofauti na za wenzetuKama upo aisee.
Kuna mwalimu wa shule ya msingi headmistress kaolewa na jamaa jobless, basi mwanamke kamzingua nini sijui jamaa, kilichofuata jamaa alimchapa makonde mwanamke utasema Floyd MyWeather yupo ulingoni na Manu Pacquiao
Baada ya kipondo heavy demu kakimbilia polisi,