Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,114
- 55,530
Mapenzi ni hisia,wangapi wana ujasiri huu....
mapenzi raha mkuu,ingawa nyakati hizi wengi wanaigizaMghhh
ha ha ha,wapo wanaotekeleza lakini,mapenzi ni hisia sio tamaduniUjasiri huo upo, sema tamaduni zetu hazitatuelewa
ha ha ha anayefanya vitu kwa kujificha gizani,hana upendo.yaani huo ndio Upendo? Mtoa mada kuwa siriaz basi
upendo ni hisia,na kinachofanyika pale ni hisiaKushikana nyero hadharani ndo upendo.
Upendo wa kisasa.Mapenzi ni hisia,wangapi wana ujasiri huu....
View attachment 1124066
ha ha ha mkuu unatakiwa uyatekeleze kwa vitendoUpendo wa kisasa.
hakuna udhalilishaji mkuu,ndio ukubwa wenyewe huohuo upendo au udhalilishaji?
ha ha ha ha na yeye amemshika mbele kule;nani kakosa adabu hapoKumshka tako adharan sio upendo n kukosa adabu
Vipi wewe ukishikwa ta.koha ha ha ha na yeye amemshika mbele kule;nani kakosa adabu hapo
Kama ni wewe hakuna shida...ila kama ni me sitakuelewaVipi wewe ukishikwa ta.ko
Ahaa kumbeKama ni wewe hakuna shida...ila kama ni me sitakuelewa
wote n wakosa adabuha ha ha ha na yeye amemshika mbele kule;nani kakosa adabu hapo