Upekee wa ndege njiwa .

Upekee wa ndege njiwa .

tan 90

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
182
Reaction score
36
1.Njiwa hutaga mayai
mawili tu
2.Njiwa ndio viumbe
pekee duniani wenye
mpenzi mmoja,yaani
huyo mmoja akipotea au
kufa anaebakia hawezi
kuwa na mpenzi
mwingine.Hata yule
anaebaki huendelea
kuombolea kifo cha
mpenzi wake.
3.Njiwa dume na jike
wote huwa na jukumu la
kuwalisha watoto kwa
pamoja.
4.Hata ukimfuga njiwa
akiruka umbali gani
hasahau nyumbani lazima
arudi.Ndio maana toka
zama hizo njiwa
walikuwa wakitumika
kutuma na kurudisha
ujumbe fulani.
5.Binadamu huwala njiwa
kama mboga
hivi,kumbanika,
kumchoma n.k
6.Njiwa hutumika kama
alama ya
amani,upendo,ma
tumaini na mshikamano.
7.Ni ndege wasiopenda
fujo ukiwafuga kama ni
nyumba iliyojaa ugomvi
virugu wanahama
wanaondoka. . .*ndio maana njiwa hutumika kuonyesha ishara ya mapenzi.
 
njiwa peleka salamuu
ah kwa yule wangu muhibuuu
ewe njiwa ewe njiwaaaaaa.........................
 
kumbe umo.

mie tena?
we acha kabisa!haya mtwaarab ya zamani haya yana mahisia ya kufa mtu!tunaojua raha zake hatuchezi nayo mbali sio ya siku hzi haya sijui tikisa nyonyo nina mashetani mie!
waaaapi!
 
Njiwa hana life partner hapo kuna mambo umeyachanganja njiwa mmoja akifa dume aliyebaki huchukua jike lingine mnyama pekee mwenye life partner ni digidigi tu kwani mmoja akifa basi mwingine atabaki mjane mpaka atakapokufa hahahaha
 
mie tena?
we acha kabisa!haya mtwaarab ya zamani haya yana mahisia ya kufa mtu!tunaojua raha zake hatuchezi nayo mbali sio ya siku hzi haya sijui tikisa nyonyo nina mashetani mie!
waaaapi!

umenifurahsha kwl,hyo tikisa nyonyo. . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom