Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,763
- 2,678
Hizo specs ni ndogo sana achilia mbali laptop za Mac kua na product ya apple haimaanishi upon juuu kuzidi windows hio ni fikra potofu 450K napata kitu cha windows HDD 500 4GB RAM, na core i5Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; 160 gb hdd, 2GB ram, screen size inch 20, CPU na speaker zimo ndani ya screen, internet inatumia hotspot ya simu, mpya toka u.s.a ,6months warranty, zinauzwa Bei ya offa tzs 450'000 / ( laki nne na nusu tu). Tupo mbez Luis(Mbezi mwisho baada ya Kimara)... pia unaletewa ulipo na mikoani tunatuma ...offer: free keyboard and mouse ... wasiliana nasi kwa no: 0713 039 875 karibi sana!!!!!
Karibu tukuhudumieHizo specs ni ndogo sana achilia mbali laptop za Mac kua na product ya apple haimaanishi upon juuu kuzidi windows hio ni fikra potofu 450K napata kitu cha windows HDD 500 4GB RAM, na core i5
Kuanzia GB ngapi hdd na ram? KaribuUkipata iMac yenye specs za kiutu uzima, nijuze!
Core i5 na kuendelea, HDD 1 TB, RAM kuanzia 8GBKuanzia GB ngapi hdd na ram? Karibu
HIi ipo ofisi yetu kariakoo, huku mbezi hatuna. wanauza 2.2 millionCore i5 na kuendelea, HDD 1 TB, RAM kuanzia 8GB
Thanks Mkuu, lakini maduka ya K/koo kwa kweli yamenipunguzia imani kununua vifaa vya electronics. Awali nilinunua DELL Laptop ikiwa kwenye box, hii ilikaa mwaka mmoja kamili, as if ilikuwa tuned that way!HIi ipo ofisi yetu kariakoo, huku mbezi hatuna. wanauza 2.2 million
Ajabu nikanunua used Lenovo in SA lakini huu ni mwaka wa 3 bado inadunda!!Natafuta Fundi wa HP Laptop - JamiiForums
Wadau natafuta fundi SERIOUS wa Laptop! Msisitizo ni hapo kwenye SERIOUS manake nina uzoefu na tech wannabe wa JF. Nina personal problems so it sucks unasumbua mtu maybe kutoka Gongo La Mboto hadi Mwenge wakati unajua kabisa huna uzoefu wa hizi kazi; kumbe unataka kujaribu!!! Anyway, laptop...www.jamiiforums.com
Thanks Mkuu, lakini maduka ya K/koo kwa kweli yamenipunguzia imani kununua vifaa vya electronics. Awali nilinunua DELL Laptop ikiwa kwenye box, hii ilikaa mwaka mmoja kamili, as if ilikuwa tuned that way!
Nikaenda tena K/koo nikanunua HP (ipo kwenye box), na yenyewe ilikaa mwaka mmoja na miezi 3:-
Ajabu nikanunua used Lenovo in SA lakini huu ni mwaka wa 3 bado inadunda!!
About 2 weeks ago nimenunua adapter ya HP, hapa nilipo natafuta muda nikatafute adapter nyingi!!!
Anyway, I know wapo sellers wengine huko huko Kariakoo ambao bidhaa zao ni mzuri lakini binafsi, maduka ya Kariakoo yameshanitumbukia nyongo linapokuja suala la vifaa vya electronics!
yaani hivi sasa nawaogopa kama ukoma!!Yaani mimi kariakoo naogopa hata kununua simu tu
The problem K/koo wanafanya refurb wenyewe, kwahiyo hata kama ni mtalaamu, huwezi kujua ubora wa vifaa walivyoweka ndani.Kikubwa uwe na ujuzi wa kutofautisha original na fake, dunia nzima kuna utapeli.Karibuni
Kabisaa viwango vidogo mnoo haina maana kuwa na Computer ya 2GB Ram alaf processor DuoCore kisa ni Mac huo ni ujinga!Hizo specs ni ndogo sana achilia mbali laptop za Mac kua na product ya apple haimaanishi upon juuu kuzidi windows hio ni fikra potofu 450K napata kitu cha windows HDD 500 4GB RAM, na core i5
acha utapeli we fala, computer ya apple mpya iuzwe 450k? you are foolish.Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; 160 gb hdd, 2GB ram, screen size inch 20, CPU na speaker zimo ndani ya screen, internet inatumia hotspot ya simu, mpya toka u.s.a ,6months warranty, zinauzwa Bei ya offa tzs 450'000 / ( laki nne na nusu tu). Tupo mbez Luis(Mbezi mwisho baada ya Kimara)... pia unaletewa ulipo na mikoani tunatuma ...offer: free keyboard and mouse ... wasiliana nasi kwa no: 0713 039 875 karibi sana!!!!!
Zipo mkuu karibuBado zipo?
Bado zipo?Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; 160 gb hdd, 2GB ram, screen size inch 20, CPU na speaker zimo ndani ya screen, internet inatumia hotspot ya simu, mpya toka u.s.a ,6months warranty, zinauzwa Bei ya offa tzs 450'000 / ( laki nne na nusu tu). Tupo mbez Luis(Mbezi mwisho baada ya Kimara)... pia unaletewa ulipo na mikoani tunatuma ...offer: free keyboard and mouse ... wasiliana nasi kwa no: 0713 039 875 karibi sana!!!!!