Updates za Railway Children

Updates za Railway Children

mapie

Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
95
Reaction score
43
Jamani wana JF kuna mtu mwenye updates zozote za zle nafas za Railway children, deadline yake ilikuwa trh.25 mwez huu atujuze
 
Yani hata mwenye nliomba naona kimya asee!ila tuvumilie tu,
 
hawa jamaa walinipigia tarehe 1 May na nikafanya initial phone interview wakasema jumamosi watanitumia sms kama nitachaguliwa ili kupewa ratiba ya interview ya Mwanza But hawakuynitumia hiyo sms which means sikubahatika.
 
Dooh jamani mi nlikuwa nasubilia najua bado hawajaanza ita watu. Looo
 
pole, halafu merie tulikuwa safari moja ktk utapeli wa mwanza community bank eenhe.
 
unasema deadline tarehe 25 mwezi huu . mbona bado hiyo tarehe au...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom