Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,739 Sep 3, 2014 #1 Wadau niko mbali kiasi kwamba sipati hata redio moja inayotangaza mpambano kati ya yanga na Thika utd ya Kenya.....Kwa mwenye tarifa updates pleas
Wadau niko mbali kiasi kwamba sipati hata redio moja inayotangaza mpambano kati ya yanga na Thika utd ya Kenya.....Kwa mwenye tarifa updates pleas
Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,739 Sep 3, 2014 Thread starter #2 Jamani aliyeko karibu atuambie mambo ya Coutinho na Jaja
Nyanya mbichi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 3,716 Reaction score 2,221 Sep 3, 2014 #3 faida ya fb unalike page yao unapata latest
Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,739 Sep 3, 2014 Thread starter #4 Akina nani Yanga au Thika?
cnjona JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 1,027 Reaction score 239 Sep 3, 2014 #5 Nyanya mbichi said: faida ya fb unalike page yao unapata latest Click to expand... Kwa hiyo jf siku hizi hakuna live updates,???
Nyanya mbichi said: faida ya fb unalike page yao unapata latest Click to expand... Kwa hiyo jf siku hizi hakuna live updates,???
strong ruler JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 4,919 Reaction score 3,313 Sep 3, 2014 #6 cnjona said: Kwa hiyo jf siku hizi hakuna live updates,??? Click to expand... watu wako hoi na maisha ndugu
cnjona said: Kwa hiyo jf siku hizi hakuna live updates,??? Click to expand... watu wako hoi na maisha ndugu
DAKA MTUMBA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,288 Reaction score 805 Sep 3, 2014 #7 Dk79:yanga1-0thika utd
DAKA MTUMBA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,288 Reaction score 805 Sep 3, 2014 #8 Jaja kawaua!
NGARUKA JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 402 Reaction score 71 Sep 3, 2014 #9 nasikia Mikia FC walikuwepo kukumbuka ZESCO
DAKA MTUMBA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,288 Reaction score 805 Sep 3, 2014 #10 J'pili Yanga anakipiga na timu moja kutoka MALAWI.
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,138 Reaction score 2,267 Sep 3, 2014 #11 toeni matokeo kamili basi? amavubi, kitoabu na wengine where are you?
DAKA MTUMBA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,288 Reaction score 805 Sep 3, 2014 #12 voice of mtwara said: toeni matokeo kamili basi? Amavubi, kitoabu na wengine where are you? Click to expand... full time:yanga1-0thika.
voice of mtwara said: toeni matokeo kamili basi? Amavubi, kitoabu na wengine where are you? Click to expand... full time:yanga1-0thika.
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Sep 4, 2014 #13 yani yanga pamoja na wabrazili wote wote hao halafu wanashinda goli moja tu:A S-eek: