Updates: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi

MTOTELA

Senior Member
Apr 21, 2012
159
196
Saa tano imeshatimia tunaomba mtujuze kinachojiri hapo central polisi Dar. Wale wala sembe waliotajwa jana na mheshimiwa Makonda wamesharipoti hapo au? Kama wameripot wamefunguliwa mashtaka tayari? Tupieni taarifa hapa wakuu

========
Updates......
Baadhi ya wasanii wanaendelea kufika central Polisi.




TID nae akiwasili


img-20170203-wa0011-jpg.466728

TID akiwasili kituo kikuu cha Polisi.

IMG_20170203_122238.jpg

Babuu wa kitaa akiwasili kituo kikuu cha Polisi

IMG_20170203_122657.jpg

Hamidu Chambuso aka 'Nyandu Toz' akiwasili kituo kikuu cha kati.

wema.png

Wema Sepetu akiwasili kituo kikuu cha kati.

======
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa amewahoji watuhumiwa wa kutumia mihadarati kwasababu watasaidia kuwafichua wauzaji.

Kwa upande wake Kamanda Simon Sirro amesema kuwa wamewakamata watuhumiwa watano na kuwahoji wasanii watano waliofika kituoni hapo leo ili kuweza kujua ni wapi wananunua mihadarati hiyo na mwisho wataweza kuwafikia wauzaji wakubwa.
=======

Habari hii ni moja kati ya zilizojumuishwa kwenye kipindi cha Jamii Leo katika chaneli yetu ya YouTube. Kuona habari nyingine zaidi, tazama video hii hapa chini:

 
Taarifa zilizopo ni kuwa msaani mwenye tuhuma ya kubwia unga TID amewasili kituo kikuu cha polisi kuitikia wito wa mkuu wa mkoa.Mwenye taarifa na wengine atujuze.
Nasikia Rey c na yeye kaamuwa kwenda eti kwanini hakutajwa wakati kaanza siku nyingi.
 
Back
Top Bottom