Licha ya matokeo, ni vyema pia tukajulishana matukio yaliyojitokeza yasiyo ya kawaida katika siku ya j`pili wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa,
Upande wa mbagara Dar, FFU na gari lenye bendela nyekndu utafikiri tuko darfur, yalitisha watu
hali hii ilipelekea sehemu za starehe kama container bar, kingugi pub, kiburugwa inn nk kufunga mapema kuofia usarama.
upande wa matokeo, kingugi ilikuwa inaongozwa na cuf, wamechukua ccm, mtoni ilikuwa ya ccm wamechukua cuf
naomba na wengine mtujuze huko mliko