Updates: Uchaguzi mdogo serikali za mitaa Kinondoni

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
Leo kuna uchaguzi mdogo hapa Kinondoni kwa ajili ya wajumbe wa serikali za mtaa pamoja na wenyeviti wa mtaa.

Nitajitahidi kuwapa kinachoendelea.

===== Updates =======
Hali ya upigaji kura ni shwari lakini asubuhi kulikuwa na vurugu kidogo mtaa wa hananasifu baada ya makamanda wa REDBRIGED kuwagundua wapiga kura bandia walioletwa toka bunju ambao ni mabalozi wa ccm bunju.

Mtaa wa hananasifu Kamanda Ngowi anawakoromea polisi kuwaondoa kinamama wa CCM wanaopiga kampeni kwa kisingizio ati wanauza maji
 
tunasubiri tukiamini utatimiza ulicho ahidi.
 
Hali ya upigaji kura ni shwari lakini asubuhi kulikuwa na vurugu kidogo mtaa wa hananasifu baada ya makamanda wa REDBRIGED kuwagundua wapiga kura bandia walioletwa toka bunju ambao ni mabalozi wa ccm bunju.

tiririka mkuu...
 
Vipi hali ya ushindani na mwamko wa wananchi juu ya mchoko wa kisiasa aliosema Mzee wa kulialia pale mjengoni?
 
nam tiririka mkuu,nitaendelea kukufuatilia mpa saa nane nitakapo elekea kimanga,kwa ajiri ya kupunguza idadi ya kura za magamba.
 
Kikubwa cha kuangalia kwa makini hapo ni wapiga kura mamuluki,CCM waangalieni kwa makini sana maana kuna taarifa watapeleka wapiga kura mamuluki kutoka maeneo mengine,hasa kwa mfumo uliokuwa unatumika kujiandikisha.Tunawatakia uchaguzi mwema
 
Mtaa wa hananasifu Kamanda Ngowi anawakoromea polisi kuwaondoa kinamama wa CCM wanaopiga kampeni kwa kisingizio ati wanauza maji
 
nam tiririka mkuu,nitaendelea kukufuatilia mpa saa nane nitakapo elekea kimanga,kwa ajiri ya kupunguza idadi ya kura za magamba.
karibu kimanga tupo hapa karibu na NMB ATM machine,maandalizi ni makubwa sana....!
 
Mtaa wa hananasifu Kamanda Ngowi anawakoromea polisi kuwaondoa kinamama wa CCM wanaopiga kampeni kwa kisingizio ati wanauza maji

kuweni makini sana,chezeni nao ZERO DISTANCE
 
Hali ya upigaji kura ni shwari lakini asubuhi kulikuwa na vurugu kidogo mtaa wa hananasifu baada ya makamanda wa REDBRIGED kuwagundua wapiga kura bandia walioletwa toka bunju ambao ni mabalozi wa ccm bunju.

Yaani hawa Magamba hawana mechi ndogo! Kweli wamevurugwa. Mpaka mechi za kirafiki wanakwenda kuzilalia kwa mganga!
 
Makamanda wakilinda kura mkoroshini.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376213164961.jpg
    110.7 KB · Views: 218
ccm ni janga la taifa ningewaomba wtz tungebadilika
 
hakikisheni hili dude shwetani ccm wanapigwa chini!
 
pamoja sana, endeleeni kutuhabarisha
 
Leo kuna uchaguzi mdogo hapa Kinondoni kwa ajili ya wajumbe wa serikali za mtaa pamoja na wenyeviti wa mtaa.

Nitajitahidi kuwapa kinachoendelea.

===== Updates =======

ohooo... umenikumbusha! ngoja niende kituoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…