kwemanga1
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 839
- 599
Ongeza na muungano wa Tanganyika na Zanzibar!Nasisi tupige kura ya kuendelea au kutokuendelea na Eas Africa Community.
Ongeza na muungano wa Tanganyika na Zanzibar!Nasisi tupige kura ya kuendelea au kutokuendelea na Eas Africa Community.
so sad,naona hadi pound imeanza kushuka against dollar
YapMkuu ya kweli hayo?
unaweza ukasema ni ya muda mfupi but still hili litawaathiri sana kiuchumi siku zijazo especially wakitaka kuinvest kwa nchi nyingine za ulaya........ukiangalia now ni kwamba wanajitoa kwenye soko la pamoja na wenzao wa ulaya,huoni hiyo bado itawaathiri sana siku zijazo?Hiyo ni shock ya muda tu mkuu.
Ukumbuke UK ni nchi ya 5 kwa ukubwa kiuchumi duniani.
Game limekwishaSzczesny naona kuna mjadala kuwa Brussels wanajilaumu kuwa walichukulia mambo poa sasa wamekuwa shocked na matokeo.
Kwamba walitakiwa toka mapema waendeshe kitu kama kampeni kuonyesha namna Uk itakavyopoteza wakitoka.
Unafikiri hiyo "kampeni" ingebadili haya matokeo?
unaweza ukasema ni ya muda mfupi but still hili litawaathiri sana kiuchumi siku zijazo especially wakitaka kuinvest kwa nchi nyingine za ulaya........ukiangalia now ni kwamba wanajitoa kwenye soko la pamoja na wenzao wa ulaya,huoni hiyo bado itawaathiri sana siku zijazo?