hajikagoro
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 217
- 188
Habari wana JF, mwenye taarifa zozote za mchakato mzima wa ajira za takukuru baada ya siku kadhaa kupita tokea usaili wa mwisho ufanyike. Ni hayo tu ndugu zangu
Mwaka wa fedha huu kabla haujaisha lazima vijana mtwaitwa
Mjiandae na training ya miez mitatu morogorom
Mshara after deductions zote kwa graduate investigator ni 1.4m
Katika hiyo kuna hardship allowance',investigation allowances,risky allowances,house allowances keep on praying
Ongea na watu upate viatuu,usigeuke chanuo kazi zake ni mbili tuuh i.e kuchana nyweleee na kusuka nywelee..

Km ni Le Mutuz ntakuchek nkishaprove ni wew
mimi siwez kuwa fa.la kama lemutuz hata siku moja
take it from me...
lakin kazi ya ushushushu utaiweza??