PLL JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 882 Reaction score 400 Apr 19, 2014 #1 Wapendwa mu hali gani?Haya mashirika mawili yalitangaza nafasi za kazi siku kadhaa zilizopita,me na wenzangu tumekua tukisubiri taarifa yoyote lakn kimya,vp jamani kuna anaejua lolote?
Wapendwa mu hali gani?Haya mashirika mawili yalitangaza nafasi za kazi siku kadhaa zilizopita,me na wenzangu tumekua tukisubiri taarifa yoyote lakn kimya,vp jamani kuna anaejua lolote?
S shigegele JF-Expert Member Joined Mar 13, 2014 Posts 211 Reaction score 25 Apr 19, 2014 #2 walishaanza kazi muda
M msa4 Member Joined Mar 22, 2014 Posts 13 Reaction score 1 Apr 19, 2014 #3 kiukweli hata mie kuna mdau wangu alikuwa anasikilizia bado hajapata taarifa yoyote mpaka sasa!