Ata mimi niliambiwa kupigiwa simu lakin bado ila jana nilienda kuwauliza wakasema watapiga simu so ondoa hofu kaka tuko pamoja nipe mawasiliano yako tuwe tunajuzana
hata mimi walinipigia simu na nilisharipoti, wameniambia nisubiri... Juzi nilianda kuulizia progress wakasema wanafanya mchakato wa malipo ya kujikimu, kuanzia mwezi ujao watatuita kuanza kaz
kwa uelewawangu wanatakamuanze kazi tarehe 01/09/2014, hawataki muwadai arrears za mshahara,
hongera sana mimi pia kuna mdogo wangu kapangiwa pale na utumishi kwenda kuwa mchumi. soon mtapigiwa
simu mkaripoti hiyo tarehe 01/09/2014.