Updates: Mkutano wa Zitto Kabwe Lindi

Wanajilinganisha ni hao act wenu kwa tamaa zisizo na tija kwa maelekezo ya kiongozi wao sababu ya chuki zake tu,
unachoshindwa kuelewa ni kimoja tu, cdm walitaka zitto aache siasa baada ya kufukuzwa chadema lakini imekuwa tofauti matokeo yake kila siku zitto zitto
 
Unamshambulia Magufuli kuhusu Nyumba Za Serikali wakati yeye hakujibu ila anajibiwa na wengine, pole Zitto unamsakama sana Magufuli ila janja yako itaisha:

[video]https://m.youtube.com/watch?v=LofQGOS0bCM[/video]​
 
unachoshindwa kuelewa ni kimoja tu, cdm walitaka zitto aache siasa baada ya kufukuzwa chadema lakini imekuwa tofauti matokeo yake kila siku zitto zitto

Mbona tayari wewe umeshaiongelea cdm tayari?,hili ni jukwaa huru mkuu
 
Zitto yupo na anapigana kwa ajili ya kulikomboa taifa hili
 
Zitto amekua akiirudia mara kwa mara sentensi hii " Tumechoka kutumikia vyama vya wengine, nimewaletea chama chenu".
Kauli hii inakusudia nini? Yeye kwa nini anatutaka tutumikie chama chake (cha wengine)?
Kwa nini anapenda madaraka makubwa(kiongozi mkuu) ili wengine wamtumikie?
Hii kauli inamaanisha nini ktk siasa za "ubaguzi" anazozifanya?
 
Ubaguzi uko wapi hapa? Muda mfupi utajua anamaanisha nini.
 
Zitto atawaua kwa presha chadema. Mumuache.
 
kwahiyo na hao walioko chini yake wanamtumikia?!! huyu naye kila siku na jipya,
 
Zitto atawafanya hawa pro-Chadema na viongozi wao wapagawe kila mmoja anataka kupambana na Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Ubaguzi kwa Zitto ndio sera yake,hata huko Kigoma anawaambia wananchi eti Chama nichakwao,inamaana sio chawatu wa Dar,Mwanza,Tabora nakwingine.Siwezi kushiriki huu ubaguzi anaotuletea Zitto,wakati mwingine anafanyia haya misikitini
 
Anapigania tumbo lake

Hata huyo unaemkubali ww pia yupo kwa kulilinenepesha tumbo lake lkn naangalia anania ipi kwa upande wananchi wake...sio kama wale wenye hila
 
kigoma sio watanzania - ACT ni ya watanzania kwa hiyo Chama ni dhamana yao; concln chama ni chao wana ACT
 
Zitto atawafanya hawa pro-Chadema na viongozi wao wapagawe kila mmoja anataka kupambana na Zitto.

Cdm ni wapigania haki ya ukweli kwa watanzania dhidi ya dhamila hovu ya ccm na mwanae act
 
Last edited by a moderator:
Hata huyo unaemkubali ww pia yupo kwa kulilinenepesha tumbo lake lkn naangalia anania ipi kwa upande wananchi wake...sio kama wale wenye hila

Ni wapi hao wenye hila?
 
Zitto atawafanya hawa pro-Chadema na viongozi wao wapagawe kila mmoja anataka kupambana na Zitto.

Wewe Ritz kwanza malizeni huo mpasuko wenu na Lowasa numulambe miguu mana hawaachi salama.Kwa Chadema utasubiri Sana mpaka utazeeka ukitamani ife na badala yake Ina imarika zaidi.Hela mlizompa Zitto zimekwenda bure na vya wajinga huliwa na mgema!
 
Last edited by a moderator:
Ubaguzi kwa Zitto ndio sera yake,hata huko Kigoma anawaambia wananchi eti Chama nichakwao,inamaana sio chawatu wa Dar,Mwanza,Tabora nakwingine.Siwezi kushiriki huu ubaguzi anaotuletea Zitto,wakati mwingine anafanyia haya misikitini

Hapo kwenye nyekundu ni kweli? na kama ni kweli kivipi anafanya hayo msikitini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…