Hakikwanza,
.taarifa hizi zinatia matumaini kwasababu sasa CDM iko active kila pembe ya Tanzania.
..pamoja na habari hizi njema, nina wasiwasi kwasababu sijasikia kina mama wa cdm wakifanya mikutano au harakati za kisiasa hivi karibuni.
..hawa kina mama wasije wakatuangusha. hebu wakumbusheni kufanya mikutano ya hadhara, mikutano ya ndani, pamoja na kampeni za nyumba hadi nyumba.
NB:
..baada ya uchaguzi mkuu wa chadema nilikuwa na matumaini makubwa sana na jumuiya ya wanawake.
..matumaini hayo yalitokana na mchanganyika wa rika ktk viongozi waliochaguliwa.
cc
Mkandara,
Kimweri,
Nguruvi3,
Ben Saanane,
Chademakwanza