nami niliwaza hivyo maana vyuo vingi vinaanza kupokea first year tarehe 23 mwezi huu na mara nyingi Board huwa inatoa majibu kabla ya tarehe ya vyuo kuanza kupokea wanafunziSidhani kama itavuka tarehe 20 mwezi huu bila majibu kutoka.
Tusubili tuone maana walitangaza mwisho wa kuapply ni kesho tar 15/10/2023nami niliwaza hivyo maana vyuo vingi vinaanza kupokea first year tarehe 23 mwezi huu na mara nyingi Board huwa inatoa majibu kabla ya tarehe ya vyuo kuanza kupokea wanafunzi
oukyTusubili tuone maana walitangaza mwisho wa kuapply ni kesho tar 15/10/2023
Oh sawa sawa mkuuSidhani kama itavuka tarehe 20 mwezi huu bila majibu kutoka.
Msubiri allocation proc
Hivi ukipata hyo response👆 ndio inaashiria kuna matumaini yyte ya kupata loan?
Sw madamHaina matumaini sana coz kila aliyeapply akakamilisha inamuonesha hivo, inaonyesha documents ziko verified so subiri kama utapata or not kulingana na taarifa ulizojaza
But ondoa wasi naskia this time hakuna aliyeapply atakosa kabisa, hata asilimia kidogo, so wote mtapata🙏Sw madam
Sw madam
Wew acha tu, yn mpk hii moment iishe ntakua nmepungua kilo km 20 hv kwa stressBut ondoa wasi naskia this time hakuna aliyeapply atakosa kabisa, hata asilimia kidogo, so wote mtapata[emoji120]
Wadau hapo kwny application category panakuaje kati ya diploma na bachelor?View attachment 2782657
Msijali mtafanikiwaWew acha tu, yn mpk hii moment iishe ntakua nmepungua kilo km 20 hv kwa stress
Pole sana mkuuWew acha tu, yn mpk hii moment iishe ntakua nmepungua kilo km 20 hv kwa stress
Mambo yatakua poa tu msijaliWew acha tu, yn mpk hii moment iishe ntakua nmepungua kilo km 20 hv kwa stress
[emoji846] shukraan mkuuPole sana mkuu