Wengi wetu ni masikin ndugu yangu hatuna namnaPoleni mnao omba mkopo kwenye hiyo Bodi ya kidwanzi. Kama mzazi unajimudu kiuchumi, ni bora mara 100 ukamsomesha tu mtoto wako ili kumuepusha na uhuni atakao fanyiwa hapo baadaye wa kubambikiwa deni.
Degree pekeeHii mikopo pia ni kwa wanaojiunga na ngazi ya cheti pamoja na stashahada kama serikali ilivyoahidi? Au ni waomba wa Shahada
Siku za mwanzoni mtandao wao haukai sawa vizuri haswa siku 1-3Hivi muda huu hapa dirisha litakua wazi kweli maana mi nimeingia naona haileti kitu
Unamaanisha mfumo wa RITA ?Salaam Wadau wa Elimu,
Naomba msaada, nataka nihakiki cheti Cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nn jaman.
Nipeni mbinu Plz
Rita walibadilisha mfumo... Tumia maelekezo hayo apo kwenye attachmentSalaam Wadau wa Elimu,
Naomba msaada, nataka nihakiki cheti Cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nn jaman.
Nipeni mbinu Plz
Hivi muda huu hapa dirisha litakua wazi kweli maana mi nimeingia naona haileti kitu
Kwa anaehitaji kufanyiwa application (Maombi):Tukutane hapa kupeana habari na taarifa za maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka huu 2023-2024.
Kama wewe ni mwanafunzi, mzazi, mlezi, ndugu au rafiki unayeomba/unamuombea mtu wako mkopo basi karibu kwenye hiki kijiwe special.
Kwa kuanza tuanze na huu muongozo wao kwa mwaka huu 2023-2024.
View attachment 2688559
Maombi yameanza rasmi leo tarehe 15 Julai .
dirisha bado ila naona mlango uko wazi toka 16/07/2023 ukiingia kwenye kuweka passport ya mwombaji na mdhamini wanataka size pixel 120x150 iwe na 1MB na ngoma haitaki siju shida ni mfumo wao au nini tusaidiane, naona paspport 1mb c mchezo au wametufanyia tu uhuni hao ma IT wa bodiDirisha bado halijafunguliwa?
Punguza passport weka katika vigezo wanavyotaka.dirisha bado ila naona mlango uko wazi toka 16/07/2023 ukiingia kwenye kuweka passport ya mwombaji na mdhamini wanataka size pixel 120x150 iwe na 1MB na ngoma haitaki siju shida ni mfumo wao au nini tusaidiane, naona paspport 1mb c mchezo au wametufanyia tu uhuni hao ma IT wa bodi
Ingia E rita portal iyo unayotumia ina shidaSalaam Wadau wa Elimu,
Naomba msaada, nataka nihakiki cheti Cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nn jaman.
Nipeni mbinu Plz
Sidhani kama itavuka tarehe 20 mwezi huu bila majibu kutoka.Hivi majibu ya Waliopata mkopo yanatoka kuanzia tarehe ngapi wakuu?