mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,093
Natamani niione Arsenal ikiwapiga chelsea leo lakin hii historia ya mou na wenger ndo inanikatisha tamaa kwa wenger kuibuka kidume.Wenger lazma awanyooshe chelsi hilo mbona halina ubishi.

Natamani niione Arsenal ikiwapiga chelsea leo lakin hii historia ya mou na wenger ndo inanikatisha tamaa kwa wenger kuibuka kidume.