Wameshaita wanaowataka wakaacha wote waliofanya vizuri!!! Kwa taarifa tu ni kwamba walitoa majibu ya wanaowataka badala ya kutoa majibu kama TPDC kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho. NHIF ni ubabaishaji mtupu ndugu zangu; kuna haja ya kujiajiri kuliko hizi ajira za kiupendeleo. Wameshafanya pamoja na practical, wanasubiri kuajiri.