Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Wakuu,
Nimepata taarifa kuwa mgomo wa Madereva wa mabasi ya abiria yanayofanya safari za kqenda mikoani umeanzia Jijini Dar es Salaam leo Agosti 9,2015 kama walivyotoa taarifa kuwa watagoma kama mahitaji yao hayatatekelezwa.
Nimeanzisha uzi huu ili tupeane update za maeneo mengine kuwa hali ikoje.
Asante.