Habari wana jamii wenzangu eti naombeni kuuliza kuhusu ku-update akaunti za benki sanasana benki ya CRDB bado zoezi linaendelea au nifungue akaunti nyingine.Naombeni msaada wenu kwa wanaofahamu