UPDATE: Video ya zigo remix ruksa kuchezwa usiku

Kwa kweli haifai (hasa kwa watoto wetu).

Lakini kubwa linalonishangaza ni hao wenye hiyo video kutoona tatizo lolote la kimaadili katika hiyo video yao.
 
Siwaelewi TCRA, Video za nje zenye maudhui yaleyale zenyewe zinachezwa bila limitations!
What a double standard!
 
Siwaelewi TCRA, Video za nje zenye maudhui yaleyale zenyewe zinachezwa bila limitations!
What a double standard!
Msanii wa nyumbani atakuwa na influence kubwa kwa watoto/vijana kuliko hao wa nje wa kusadikika. Kwa sababu wanamuona na kumfahamu vyema, hivyo ni rahisi kuiga anachokipresent. That is why wanakomaa na maadili ya wasanii wa ndani.

Safi TCRA!!!! Lakini mnapaswa kureview movie au nyimbo kabla ya kutoka na sio kusubiria watu walalamike kwanza ndo muact.
 
Viungo vya binadamu ni vilevile! Vinafanana all over the world, watoto wa siku hizi hawana cha msanii wa nyumbani au wa nje!
Inspiration iko pale pale.
Wembe ukate potepote!
 
Video hiyo ingekua ni ya davido wa wizkid ingechezwa kama kawa sijui kuna tofauti gani kati ya maadili ya kiafrica na maadili ya kitanzania. Na tcra iweke wazi ni maadili gani hayo ambayo wasanii wanatakiwa wasivunje
 
Back
Top Bottom