UPDATE: Sportpesa Cup 2017

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,652
Sport Pesa Cup.
- Ni Michuano mipya itakayohusisha timu zinazodhaminiwa na Sports Pesa.
5/6 Singida united Vs FC leopard
Yanga Vs Tusker fc
6/5 Simba Vs Nakuru All Star
Jang`ombe boys vs Gor mahia
Nusu fainali tarehe 8
Bingwa wa mechi kati ya Singida united vs AFC leopard atacheza na bingwa kati ya Yanga na Tusker
Nusu fainali ya pili Bingwa wa mechi kati ya Simba na Nakuru all star atacheza na bingwa wa mechi kati ya Jangombe boyz na Gor mahia
Fainali ni tarehe 11 Bingwa kupata milioni 60.
Karibuni kwa updates
Mechi zitarushwa ITV Mubashara
 
Jang'ombe nayo ina dhaminiwa na SportPesa kumbe!... Na vipi kwenye uwanja utakao tumika michuano, ni kweli watatumia uwanja wa uhuru?
 
Back
Top Bottom