neyma joseph
Member
- May 15, 2016
- 22
- 2
Mwenye update kuhusu nafasi za kazi mamlaka ya usafir wa anga
Unataka updates gani mkuuTusaidiane jaman
Watu wamefanya interview this week, labda Kama Kuna kitu kingine unataka kujua.In kama nimeona tangazo lao Leo tanzania jobs lakin nimeshindwa kulifungua
Okey poaWatu wamefanya interview this week, labda Kama Kuna kitu kingine unataka kujua.